Translations by Moses Simon

Moses Simon has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

151200 of 206 results
210.
Unable to unmount %V
2012-05-07
Inashindikana kupachua %V
211.
Do you want to empty the trash before you unmount?
2012-05-07
Je, unataka kutupuisha pipa-taka kabla ya kupachua?
212.
In order to regain the free space on this volume the trash must be emptied. All trashed items on the volume will be permanently lost.
2012-05-07
Ili kujipatia upya nafasi huria kwenye ujazo huu pipa-taka halina budi kutupuishwa. Vitu vyote vilivyotupwa humo kwenye ujazo vitakuwa vimepotea moja kwa moja.
2012-05-07
Ili kujipatia upya nafasi huria kwenye ujazo huu pipa-taka halina budi kutupuishwa. Vitu vyote vilivyotupwa humo kwenye ujazi vitakuwa vimepotea moja kwa moja.
213.
Do _not Empty Trash
2012-05-07
Usi_tupuishe Pipa-taka
214.
Unable to mount %s
2012-05-07
Inashindikana kupachika %s
215.
Preparing to copy %'d file (%S)
Preparing to copy %'d files (%S)
2012-05-07
Maandalizi kulinakili faili %'d (%S)
Maandalizi kuyanakili mafaili %'d (%S)
216.
Preparing to move %'d file (%S)
Preparing to move %'d files (%S)
2012-05-07
Maandalizi kulihamisha faili %'d (%S)
Maandalizi kuyahamisha mafaili %'d (%S)
217.
Preparing to delete %'d file (%S)
Preparing to delete %'d files (%S)
2012-05-07
Maandalizi kulifuta faili %'d (%S)
Maandalizi kuyafuta mafaili %'d (%S)
218.
Preparing to trash %'d file
Preparing to trash %'d files
2012-05-07
Maandalizi kulitupa faili %'d
Maandalizi kuyatupa mafaili %'d
219.
Error while copying.
2012-05-07
Kosa wakati wa kunakili
220.
Error while moving.
2012-05-07
Kosa wakati wa kuhamisha
221.
Error while moving files to trash.
2012-05-07
Kosa wakati wa kuhamisha faili kwenda kwenye pipa-taka
222.
Files in the folder "%B" cannot be handled because you do not have permissions to see them.
2012-05-07
Mafaili katika folida "%B" hayawezi kushikiliwa kikazi kwa sababu wewe hauna rukhsa ya kuyaona.
223.
The folder "%B" cannot be handled because you do not have permissions to read it.
2012-05-07
Folida "%B" haliwezi kushikiliwa kikazi kwa sababu wewe hauna rukhsa ya kulisoma.
224.
The file "%B" cannot be handled because you do not have permissions to read it.
2012-05-07
Faili %B" haliwezi kushikiliwa kikazi kwa sababu wewe hauna rukhsa ya kulisoma.
225.
There was an error getting information about "%B".
2012-05-07
Kulikuwepo na kosa kupata habari kuhusu "%B".
226.
Error while copying to "%B".
2012-05-07
Kosa wakati wa kunakili kwenda "%B"
227.
You do not have permissions to access the destination folder.
2012-05-07
Hauna rukhsa ya kulifikia ndani folida la pakwenda.
228.
There was an error getting information about the destination.
2012-05-07
Kulikuwepo na kosa kupata habari kuhusu pakwenda.
229.
The destination is not a folder.
2012-05-07
Pakwenda si folida
230.
There is not enough space on the destination. Try to remove files to make space.
2012-05-07
Hakuna nafasi ya kutosha kwenye pakwenda. Jaribu kuyaondoa mafaili ili kufanyiza nafasi.
232.
The destination is read-only.
2012-05-07
Pakwenda ni kwa kusoma-tu.
233.
Moving "%B" to "%B"
2012-05-07
Kuhamisha "%B" kwenda "%B"
234.
Copying "%B" to "%B"
2012-05-07
Kunakili "%B" kwenda "%B"
235.
Duplicating "%B"
2012-05-07
Kudurufu "%B"
242.
%S of %S
2012-05-07
%S za %S
243.
%S of %S — %T left (%S/sec)
%S of %S — %T left (%S/sec)
2012-05-07
%S za %S - %T zimebaki (%S/Sek)
%S za %S - %T zimebaki (%S/Sek)
244.
The folder "%B" cannot be copied because you do not have permissions to create it in the destination.
2012-05-07
Folida "%B" haliwekani kunakiliwa kwa sababu wewe hauna rukhsa ya kuliunda katika pakwenda.
245.
There was an error creating the folder "%B".
2012-05-07
Kuliwepo na kosa kuunda folida "%B".
246.
Files in the folder "%B" cannot be copied because you do not have permissions to see them.
2012-05-07
Mafaili katika folida "%B" hayawezi kunakiliwa kwa sababu wewe hauna rukhsa ya kuyaona.
247.
The folder "%B" cannot be copied because you do not have permissions to read it.
2012-05-07
Folida "%B" haliwezekani kunakiliwa kwa sababu wewe hauna rukhsa ya kulisoma.
248.
Error while moving "%B".
2012-05-07
Kosa wakati wa kuhamisha "%B".
249.
Could not remove the source folder.
2012-05-07
Haikuwezekana kuondoa folida chanzo
250.
Error while copying "%B".
2012-05-07
Kosa wakati kunakili "%B".
251.
Could not remove files from the already existing folder %F.
2012-05-07
Haikuwezekana kuyaondoa mafaili kutoka kwenye folida lilipo tayari %F.
252.
Could not remove the already existing file %F.
2012-05-07
Haikuwezekana kuliondoa faili lililopo tayari %F.
253.
You cannot move a folder into itself.
2012-05-07
Hauwezi kulihamisha folida kuelekea kwenye lenyewe.
254.
You cannot copy a folder into itself.
2012-05-07
Hauwezi kulinakili folida kuelekea kwenye lenyewe.
255.
The destination folder is inside the source folder.
2012-05-07
Folida la pakwenda ni ndani ya folida chanzo.
256.
You cannot move a file over itself.
2012-05-07
Hauwezi kulihamisha faili juu ya lenyewe.
257.
You cannot copy a file over itself.
2012-05-07
Hauwezi kulinakili faili juu ya lenyewe.
258.
The source file would be overwritten by the destination.
2012-05-07
Faili chanzo litakuwa limeandikishika juu yake na pakwenda.
259.
Could not remove the already existing file with the same name in %F.
2012-05-07
Haikuwezekana kuliondoa faili lilipo tayari lenye jina hilo hilo katika %F.
260.
There was an error copying the file into %F.
2012-05-07
Kulikuwepo na kosa kunakili faili kwenda ndani ya %F.
261.
Copying Files
2012-05-07
Kunakili Mafaili
262.
Preparing to Move to "%B"
2012-05-07
Maandalizi kuhamia "%B"
263.
Preparing to move %'d file
Preparing to move %'d files
2012-05-07
Maandalizi kulihamisha faili %'d
Maandalizi kuyahamisha mafaili %'d
264.
There was an error moving the file into %F.
2012-05-07
Kulikuwepo na kosa kuhamisha faili kwenda ndani ya %F.
2012-05-07
Kulikuwepo na kosa kuhamisha fiali kwenda ndani ya %F.