Translations by ronald

ronald has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

150 of 114 results
1.
KCMLocale
2007-06-12
KCMmandhari
2.
Regional settings
2007-06-13
eneo kuseti
2007-06-12
kuseti za eneo
3.
Changed language settings apply only to newly started applications. To change the language of all programs, you will have to logout first.
2007-06-13
Lugha kuseti zilizobadilishwa zinahusishwa tu na aplikesheni mapya. Kubadilisha lugha za vipindi, itakubidi uziondoke kwanza.
2007-06-12
Kuseti za lugha zilizo badilishwa zinahusishwa tu na aplikesheni mapya. Kubadilisha lugha za vipindi, itakubidi utoke kwanza.
4.
Applying Language Settings
2007-06-12
Kuseti Lugha yanatiliwa
5.
<h1>Country/Region & Language</h1> <p>From here you can configure language, numeric, and time settings for your particular region. In most cases it will be sufficient to choose the country you live in. For instance KDE will automatically choose "German" as language if you choose "Germany" from the list. It will also change the time format to use 24 hours and and use comma as decimal separator.</p>
2007-06-13
<h1>Nchi/Eneo & Lugha</h1> <p>Kuanzia hapa unaweza kubadilisha kuseti lugha, nambari, na saa ya eneo lako. Kwa nyakati mingi itakuwa maridhawa kuchagua ile inchi unayoishi. Kwa mfano KDE itajichagulia "Ujermani" kama lugha ukichagua "Ujermani" kutoka kwa orodha. Pia itabadilisha mpangilio wa saa kutumia masaa 24 na utumie alama ya koma kama mlongo bagilishi.<p>
2007-06-12
<h1>Nchi/Eneo & Lugha</h1> <p>Kuanzia hapa unaweza kubadilisha kuseti lugha, nambari, na saa ya eneo lako. Kwa nyakati mingi itakuwa maridhawa kuchagua ile inchi unayoishi. Kwa mfano KDE itajichagulia "Ujermani" kama lugha ukichagua "Ujermani" kutoka kwa orodha. Pia itabadilisha mpangilio wa saa kutumia masaa 24 na utumie alama ya koma kama mlongo ubadilishi.<p>
6.
Examples
2007-06-12
Mifano
7.
&Locale
2007-06-12
&Mandhari
8.
&Numbers
2007-06-12
&Nambari
9.
&Money
2007-06-12
&Pesa
10.
&Time && Dates
2007-06-12
&Saa &&Tarehe
11.
&Other
2007-06-12
&Vinginevyo
12.
Country or region:
2007-06-12
Nchi au eneo
13.
Languages:
2007-06-12
Lugha
14.
Add Language
2007-06-12
Ongeza Lugha
15.
Remove Language
2007-06-12
Ondoa Lugha
16.
Move Up
2007-06-12
Elekea juu
17.
Move Down
2007-06-12
Elekea chini
18.
Other
2007-06-12
Vinginevyo
19.
without name
2007-06-12
Bila jina
20.
This is where you live. KDE will use the defaults for this country or region.
2007-06-12
Hapa ndipo unayoishi. KDE itatumia makuu katika nchi hii au eneo.
21.
This will add a language to the list. If the language is already in the list, the old one will be moved instead.
2007-06-12
Hii itaongeza lugha fulani kwenye orodha. Kama tayari lugha imo kwenye orodha, basi ile tangulizi itabadilishwa.
22.
This will remove the highlighted language from the list.
2007-06-12
Hii itaondoa lugha iliyo bainishwa kwenye orodha.
23.
KDE programs will be displayed in the first available language in this list. If none of the languages are available, US English will be used.
2007-06-12
Vipindi vya KDE vitaonyeshwa kwa lugha tangulizi kwenye orodha.
24.
Here you can choose your country or region. The settings for languages, numbers etc. will automatically switch to the corresponding values.
2007-06-12
Hapa unaweza kuchagua nchi yako au eneo. Kuseti za lugha, Manambari nk. yatajibadilisha inavyoambatana.
25.
Here you can choose the languages that will be used by KDE. If the first language in the list is not available, the second will be used, etc. If only US English is available, no translations have been installed. You can get translation packages for many languages from the place you got KDE from.<p>Note that some applications may not be translated to your languages; in this case, they will automatically fall back to US English.
2007-06-12
Hapa unaweza kuchagua lugha zitakazotumiwa na KDE. Kama lugha tangulizi kwenye orodha haipo, la pili itatumiwa, etc. Kama US English peke ndie ipo, basi hamna manukuu ime tawazwa. Unaweza kupata pakti manukuu kutoka pahali ulipopata KDE.<p> Kumbuka kuwa vipindi vingine vinaweza kuwa havijatafsiriwa kwenye lugha lako; basi, vitajiuzulu kama US English.
26.
Numbers:
2007-06-12
Manambari:
27.
Money:
2007-06-12
Fedha:
28.
Date:
2007-06-12
Tarehe:
29.
Short date:
2007-06-12
Tarehe fupi:
30.
Time:
2007-06-12
Saa:
31.
This is how numbers will be displayed.
2007-06-12
Hivi ndivyo vile nambari zitakavyo onyeshwa.
2007-06-12
Hivi ndivyo vile manambari zitakavyo onyeshwa.
32.
This is how monetary values will be displayed.
2007-06-12
Hivi ndivyo viasi vya kifedha vitakavyo onyeshwa.
33.
This is how date values will be displayed.
2007-06-12
Hivi ndivyo viasi vya tarehe vitakavyo onyeshwa.
34.
This is how date values will be displayed using a short notation.
2007-06-12
Hivi ndivyo viasi vya tarehe vitakavyo onyeshwa kutumia alama fupi.
35.
This is how the time will be displayed.
2007-06-12
Hivi ndivyo saa itaonyeshwa.
36.
&Decimal symbol:
2007-06-12
&Alama mlongo:
37.
Tho&usands separator:
2007-06-12
Bagulizi elfu
38.
Positive si&gn:
2007-06-12
Alama thibitisha
39.
&Negative sign:
2007-06-12
Alama kinyume
40.
Here you can define the decimal separator used to display numbers (i.e. a dot or a comma in most countries).<p>Note that the decimal separator used to display monetary values has to be set separately (see the 'Money' tab).
2007-06-12
Hapa unaweza kufafanua alama mlongo inayotumiwa kuonyesha manambari (km. doti au koma kwenye mataifa mengi). <p>Kumbuka kuwa alama tangulizi inayotumiwa kuonyesha viasi vya kifedha inapaswa kuwekwa kivyake.
2007-06-12
Hapa unaweza kufafanua alama mlongo inayotumiwa kuonyesha manambari (km. doti au koma kwenye mataifa mengi). <p>Kumbuka kuwa alama tangulizi inayotumiwa kuonyesha viasi vya kifedha inapaswa kewekwa kipekee (tazama 'pesa').
41.
Here you can define the thousands separator used to display numbers.<p>Note that the thousands separator used to display monetary values has to be set separately (see the 'Money' tab).
2007-06-12
Hapa unaweza kufafanua bagulizi elfu inayotumiwa kuonyesha manambari. <p>Kumbuka kuwa bagulizi elfu inayotumiwa kuonyasha viasi vya fedha inapaswa kuandikwa kipekee.
42.
Here you can specify text used to prefix positive numbers. Most people leave this blank.
2007-06-12
Hapa unaweza kufafanua maandishi yanayotumika kuonyesha viambishi awali vya manambari zilizokuu, au positive. Watu wengi huiacha pengo.
43.
Here you can specify text used to prefix negative numbers. This should not be empty, so you can distinguish positive and negative numbers. It is normally set to minus (-).
2007-06-12
Hapa unaweza kufafanua maandishi yanayotumika kuonyesha viambishi awali vya manambari zilizondogo, au negative.
44.
Currency symbol:
2007-06-12
Alama ya fedha
45.
Decimal symbol:
2007-06-12
Alama mlongo