Translations by Chad Miller

Chad Miller has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

251277 of 277 results
251.
You have previously signed in as %{USER_NAME} (%{USER_EMAIL}). To access your computers in that account, %{LINK_BEGIN}sign in to Google Chrome%{LINK_END} with that account and re-install Chrome Remote Desktop.
2015-10-21
Mwanzoni uliingia katika akaunti kama %{USER_NAME} (%{USER_EMAIL}). Ili kufikia kompyuta zako katika akaunti hiyo, %{LINK_BEGIN}ingia katika Google Chrome%{LINK_END} kwa akaunti hiyo na usakinishe tena Kompyuta ya Mbali kwenye Chrome.
252.
Fair
2015-10-21
Wastani
253.
I can't see my saved files on-line in Google Drive.
2015-10-21
Siwezi kuona faili zangu zilizohifadhiwa mtandaoni katika Hifadhi ya Google.
254.
Learn more.
2015-10-21
Pata maelezo zaidi.
255.
Good
2015-10-21
Mzuri
256.
To enable remote connections to a different computer, install Chromoting there and click “%{BUTTON_NAME}”.
2015-10-21
Ili uwashe miunganisho ya mbali kwenye kompyuta tofauti, sakinisha Chromoting hapo na ubofye “%{BUTTON_NAME}”.
257.
Chrome Remote Desktop Host Controller
2015-10-21
Kidhibiti cha Seva Pangishi ya Kompyuta ya Mbali ya Chrome
258.
Connect anyway
2015-10-21
Hata hivyo unganisha
259.
Maximize window
2015-10-21
Zidisha dirisha
260.
Don't ask for a PIN again when connecting to this host from this device.
2015-10-21
Usiulize PIN tena unapounganisha kwenye seva pangishi kutoka kwenye kifaa hiki.
261.
To begin sharing your desktop, give the access code below to the person who will be assisting you.
2015-10-21
Ili uanze kushiriki enezo-kazi lako, toa msimbo wa ufikiji hapa chini kwa mtu atakayekuwa akikusaidia.
262.
Authorize
2015-10-21
Idhinisha
263.
Invalid host configuration.
2015-10-21
Usanidi wa seva pangishi si sahihi.
264.
Decline
2015-10-21
Kataa
265.
Chrome Remote Desktop on %{HOSTNAME} is out-of-date and needs to be updated.
2015-10-21
Kompyuta ya Mbali ya Chrome kwenye %{HOSTNAME} imepitwa na wakati na inahitaji kusasishwa.
266.
The Chromium Authors
2015-10-21
Waandishi wa Chromium
267.
%{HOSTNAME} (last online %{DATE_OR_TIME})
2015-10-21
%{HOSTNAME} (mara ya mwisho mtandaoni %{DATE_OR_TIME})
268.
Download Chrome Remote Desktop Host Installer
2015-10-21
Pakua Kisakinishaji cha Seva Pangishi ya Programu ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali
269.
%{OPTIONAL_OFFLINE_REASON} Last seen online %{RELATIVE_TIMESTAMP}.
2015-10-21
%{OPTIONAL_OFFLINE_REASON} Mara ya mwisho alionekana mtandaoni %{RELATIVE_TIMESTAMP}.
271.
Offline.
2015-10-21
Nje ya mtandao.
272.
Accept and Install
2015-10-21
Kubali na Usakinishe
273.
By downloading the Chromoting Host Installer, you are agreeing to the Google %{LINK_BEGIN}Terms of Service%{LINK_END}.
2015-10-21
Kwa kupakua Kisakinishaji cha Seva Pangishi ya Kuwasiliana na Mifumo Tofauti kutoka Mbali, unakubaliana na %{LINK_BEGIN}Sheria na Masharti ya Google%{LINK_END}.
274.
For Mac (OS X 10.6 and above)
2015-10-21
Kwa Mac (OS X 10.6 na matoleo ya baadaye)
275.
Online.
2015-10-21
Mtandaoni.
276.
For Windows (XP and above)
2015-10-21
Kwa Windows (XP na matoleo ya baadaye)
277.
By downloading the Chrome Remote Desktop Host Installer, you are agreeing to the Google %{LINK_BEGIN}Terms of Service%{LINK_END}.
2015-10-21
Kwa kupakua Kisakinishaji cha Seva Pangishi ya Programu ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali, unakubaliana na %{LINK_BEGIN}Sheria na Masharti ya Google%{LINK_END}.
278.
Download Chromoting Host Installer
2015-10-21
Pakua Kisakinishaji cha Seva Pangishi ya Kuwasiliana na Mifumo Tofauti kutoka Mbali