Translations by Chad Miller

Chad Miller has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

150 of 251 results
1.
Chromium
2013-08-15
Chromium
2.
Make Chromium the default browser
2013-08-15
Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguo-msingi
3.
Chromium App Launcher
2013-08-15
Kizinduzi cha Programu ya Chromium
4.
Chromium is out of date
2015-10-21
Chromium imepitwa na wakati
5.
Chromium Helper
2013-08-15
Kisaidizi cha Chromium
6.
Remove from Chromium...
2015-10-21
Ondoa kwenye Chromium...
7.
About &Chromium
2013-08-15
Kuhusu Chromium
8.
You are viewing a secure Chromium page.
2013-08-15
Unatazama ukurasa salama wa Chromium.
9.
Chromium Apps
2013-08-15
Programu za Chromium
10.
Inbound rule for Chromium to allow mDNS traffic.
2015-10-21
Sheria ya ndani ya Chromium ili kuruhusu trafiki ya mDNS.
11.
Chromium OS
2013-08-15
Chromium OS
12.
Welcome to Chromium
2013-08-15
Karibu kwenye Chromium
13.
Update &Chromium
2013-08-15
Sasisha &Chromium
14.
Help make Chromium better by reporting the current settings
2015-10-21
Saidia kuboresha Chromium kwa kuripoti mipangilio ya sasa
15.
This is your Chromium
2015-10-21
Hii ni Chromium yako
16.
Sign in to Chromium
2013-08-15
Ingia kwenye Chromium
17.
Chromium (mDNS-In)
2015-10-21
Chromium (mDNS-In)
18.
This server could not prove that it is %{DOMAIN}; its security certificate is not trusted by your computer's operating system. This may be caused by a misconfiguration or an attacker intercepting your connection.
2015-10-21
Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni %{DOMAIN}; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.
19.
Your changes will take effect the next time you restart your device.
2013-08-15
Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako.
20.
This server could not prove that it is %{DOMAIN}; its security certificate is not trusted by your device's operating system. This may be caused by a misconfiguration or an attacker intercepting your connection.
2015-10-21
Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni %{DOMAIN}; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.
21.
Go to the Chromium menu > Settings > (Advanced) Privacy and disable "Prefetch page resources." If this does not resolve the issue, we recommend re-enabling this option again for improved performance.
2015-10-21
Nenda kwenye menyu ya Chromium > Mipangilio > Faragha (Iliyoboreshwa) na uzime "Leta mapema rasilimali za kurasa." Ikiwa hili halitatui tatizo, tunapendekeza uwashe chaguo hili tena kwa utendaji ulioimarishwa.
22.
This server could not prove that it is %{DOMAIN}; its security certificate is not trusted by Chromium. This may be caused by a misconfiguration or an attacker intercepting your connection.
2015-10-21
Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni %{DOMAIN}; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na Chromium. Hii inaweza kusababishwa na kusanidi kusikofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.
23.
The certificate chain for this website contains at least one certificate that was signed using a deprecated signature algorithm based on SHA-1.
2015-10-21
Msururu wa cheti cha tovuti hii una angalau cheti kimoja kilichotiwa sahihi kwa kutumia kanuni ya sahihi iliyoacha kuendesha huduma kulingana na SHA-1.
24.
Your changes will take effect the next time you relaunch Chromium.
2013-08-15
Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua upya Chromium.
25.
Go to the Chromium menu > %{SETTINGS_TITLE} > %{ADVANCED_TITLE} and deselect "%{NO_PREFETCH_DESCRIPTION}." If this does not resolve the issue, we recommend selecting this option again for improved performance.
2015-10-21
Nenda kwenye menyu ya Chromium > %{SETTINGS_TITLE} %{ADVANCED_TITLE}na uondoe tiki kwenye "%{NO_PREFETCH_DESCRIPTION}." Ikiwa hili halitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena chaguo hili kwa utendaji ulioboreshwa.
26.
To establish a secure connection, your clock needs to be set correctly. This is because the certificates that websites use to identify themselves are only valid for specific periods of time. Since your device's clock is incorrect, Chromium cannot verify these certificates.
2015-10-21
Ili kutambua muunganisho salama, saa yako inahitaji kuwekwa sahihi. Hii ni kwa sababu vyeti ambavyo tovuti hutumia kujitambua ni sahihi kwa vipindi mahususi pekee. Kwa kuwa saa ya kifaa chako si sahihi, Chromium haiwezi kuthibitisha vyeti hivi.
27.
Your preferences can not be read. Some features may be unavailable and changes to preferences won't be saved.
2013-08-15
Mapendeleo yako hayawezi kusomwa. Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.
28.
&Relaunch Chromium in Windows 8 mode
2015-10-21
Zima halafu uwashe Chromium katika hali ya Windows 8
29.
Chromium could not sync your data. Please update your Sync passphrase.
2015-10-21
Chromium haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.
30.
%{SITE} normally uses encryption to protect your information. When Chromium tried to connect to %{SITE} this time, the website sent back unusual and incorrect credentials. Either an attacker is trying to pretend to be %{SITE}, or a Wi-Fi sign-in screen has interrupted the connection. Your information is still secure because Chromium stopped the connection before any data was exchanged.
2015-10-21
Kwa kawaida %{SITE} hutumia usimbaji fiche ili kulinda maelezo yako. Chromium ilipojaribu kuunganisha kwenye %{SITE} wakati huu, tovuti ilituma kitambulisho kisicho cha kawaida na batili. Huenda mvamizi anajaribu kujifanya kuwa %{SITE}, au skrini ya kuingia kwenye Wi-Fi imeingilia muunganisho. Maelezo yako yangali salama kwa sababu Chromium ilisimamisha muunganisho kabla data yoyote haijabadilishwa.
31.
Share a computer? Now you can set up Chromium just the way you like it.
2015-10-21
Ungependa kushiriki kompyuta? Sasa unaweza kusanidi Chromium kama tu unavyoipenda.
32.
About Chromium
2015-10-21
Kuhusu Chromium
33.
Chromium OS does not support launching an external application to handle %{SCHEME} links. The link requested is %{PROTOLINK}.
2013-08-15
Chromium OS haihimili kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya %{SCHEME}. Kiungo kilichoombwa ni %{PROTOLINK}.
34.
A conflicting installation of Chromium was found on the system. Please uninstall it and try again.
2015-10-21
Usakinishi tatanishi wa Chromium ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali uondoe na ujaribu tena.
35.
Get help with using Chromium OS
2013-08-15
Pata msaada unapotumia Chromium OS
36.
Chromium is trying to show passwords.
2015-10-21
Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri.
37.
You're signed in to Chromium!
2013-08-15
Umeingia kwenye Chromium!
38.
Chromium open source licenses
2015-10-21
Leseni za programu huria kwenye Chromium
39.
Enables iframe-based Chromium sign-in flows. This flag overrides --enable-web-based-signin.
2015-10-21
Huwasha mitiririko ya kuingia katika Chromium kulingana na iframe. Ripoti hii hubatilisha --washa kuingia katika akaunti kulingana na wavuti.
40.
Try it out, it's already installed
2013-08-15
Ijaribu, tayari imesakinishwa
41.
Chromium OS could not sync your data because Sync is not available for your domain.
2015-10-21
Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.
42.
Chromium will store this in your %{SAVED_PASSWORD_LINK} and remember it the next time you need it.
2015-10-21
Chromium itahifadhi nenosiri hili katika %{SAVED_PASSWORD_LINK} na kulikumbuka wakati ujao utakapolihitaji.
43.
After removing your account from Chromium, you may need to reload your open tabs to take effect.
2015-10-21
Baada ya kuondoa akaunti yako kwenye Chromium, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi.
44.
Set up Sync to save your personalized browser features to the web and access them from Chromium on any computer.
2013-08-15
Sanidi Usawazishaji ili uhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Chromium katika kompyuta yoyote
45.
Please close all Chromium windows (including those in Windows 8 mode) and try again.
2013-08-15
Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Window 8) na ujaribu tena.
46.
There's a new, safer version of Chromium available.
2013-08-15
Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium.
47.
%{FILE_NAME} may harm your browsing experience, so Chromium has blocked it.
2015-10-21
%{FILE_NAME} inaweza kudhuru hali yako ya kuvinjari, kwa hivyo Chromium imeizuia.
48.
Chromium will securely store your information so you don't need to type it in again, but you will still need to verify your card's security code for future payments.
2015-10-21
Chromium itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo ya siku za usoni.
49.
Let Chromium run in the background
2013-08-15
Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma
50.
To make Chromium safer, we disabled some extensions that aren't listed in the %{IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE} and may have been added without your knowledge.
2015-10-21
Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika %{IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE} na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.