Translations by James Nzomo

James Nzomo has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

133 of 33 results
2.
Learn more about GNOME
2008-09-17
Gundua zaidi huhusu GNOME
4.
GNOME Library
2008-09-17
Maktaba ya GNOME
5.
Friends of GNOME
2008-09-17
Marafiki wa GNOME
6.
Contact
2008-09-17
Wasiliana nasi
7.
The Mysterious GEGL
2008-09-28
GEGL yenye usiri
8.
The Squeaky Rubber GNOME
2008-09-17
?
9.
Wanda The GNOME Fish
2008-09-17
?
10.
_Open URL
2008-09-17
Fungua anwani KISARA
11.
_Copy URL
2008-09-17
Nakili anwani KISARA
12.
About the GNOME Desktop
2008-09-17
Kuhusu Dawati la GNOME
13.
%(name)s: %(value)s
2008-09-17
%(name)s: %(value)s
16.
<b>%(name)s:</b> %(value)s
2008-09-17
<b>%(name)s:</b> %(value)s
18.
Distributor
2008-09-17
Msambazaji
19.
Build Date
2008-09-17
Tarehe ya Kuundwa
20.
Display information on this GNOME version
2008-09-17
Zinza taarifa kuhusu toleo hili la GNOME
21.
GNOME is a Free, usable, stable, accessible desktop environment for the Unix-like family of operating systems.
2008-09-17
GNOME ni dawati huru, imara, na yenye utumishi mkubwa inayotumika katika OS zinazo fuata mifumo ya UNIX.
22.
GNOME includes most of what you see on your computer, including the file manager, web browser, menus, and many applications.
2008-09-28
GNOME hutimiza programu tele zinazopatikana katika tarakilishi zikiwemo meneja ya faili, kivinjari, menyu, na programu zinginezo.
2008-09-17
GNOME inazo programu tele zinazopatikana katika tarakilishi zikiwemo meneja ya faili, kivinjari, menyu, na programu zinginezo.
23.
GNOME also includes a complete development platform for applications programmers, allowing the creation of powerful and complex applications.
2008-09-28
GNOME inatimiza zana mbalimbali za utungaji wa maprogramu zinazowezesha uundaji wa maprogramu bora.
2008-09-17
GNOME ina programu za kutunga programu zingine na hivyo basi inawezesha kutengenezwa kwa programu bora.
24.
GNOME's focus on usability and accessibility, regular release cycle, and strong corporate backing make it unique among Free Software desktops.
2008-09-17
Mwelekeo wa GNOME kwenye upande wa matutumizi bora, dafaa imara ya matoleo inaitia ubora katika kundi la programu dezo za kidawati
25.
GNOME's greatest strength is our strong community. Virtually anyone, with or without coding skills, can contribute to making GNOME better.
2008-09-17
Msingi kuu ya GNOME ni washuhudi wetu.Takriban kila mtu alie au asie na ujuzi wa kutunga programu anauwezo wa kusaidia kuboresha GNOME
26.
Hundreds of people have contributed code to GNOME since it was started in 1997; many more have contributed in other important ways, including translations, documentation, and quality assurance.
2008-09-17
Mamia ya watu wameshuhudia kutunga GNOME tangu kuundwa kwake mwaka wa 1997; wengine zaidi wamesaidia kwa njia zngine kama utafsiri, kutunga kwa waraka, na ubora wa huduma wa GNOME
28.
Error reading file '%s': %s
2008-09-17
Hitilafu! Faili halisomeki '%s':%s
29.
Error rewinding file '%s': %s
2008-09-17
Hitilafu! Faili '%s': %s imekosa kusetiwa upya
2008-09-17
Hitilafu! Faili imekosa kusetiwa upya
31.
File '%s' is not a regular file or directory.
2008-09-17
Faili '%s' sio ya kawaida wala si saraka.
33.
No filename to save to
2008-09-17
Jina la faili linayohifadhiwa halipo
35.
No URL to launch
2008-09-17
Hakuna KISARA cha kuzindua
36.
Not a launchable item
2008-09-17
kifa hiki hakizinduliki
37.
No command (Exec) to launch
2008-09-17
Hakuna agizo (Exec) kuzindua
38.
Bad command (Exec) to launch
2008-09-17
Agizo mbaya (Exec) kuzindua
39.
Unknown encoding of: %s
2008-09-17
Aina ya simba ya: %s haijulikani