Translations by IT46

IT46 has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

5196 of 96 results
86.
Printing…
2006-03-20
Inachapishwa...
87.
Bye bye!
2006-03-20
Kwa heri!
88.
Let go of the button to complete the line.
2006-03-20
Achilia kitufe kumaliza mstari.
89.
Hold the button to stretch the shape.
2006-03-20
Bana kitufe kunyosha umbo.
90.
Move the mouse to rotate the shape. Click to draw it.
2006-03-20
Sogea puku kuzungusha umbo. Bofya kuuchora.
91.
OK then… Let’s keep drawing this one!
2006-03-20
SAWA... Tuendelee kuchora picha hii!
92.
Do you really want to quit?
2006-03-20
Unataka kuagana kweli?
95.
If you quit, you’ll lose your picture! Save it?
2006-03-20
Ukiaga, utapoteza picha yako! Hifadhi picha?
98.
Save your picture first?
2006-03-20
Hifadhi picha yako kwanza?
99.
Can’t open that picture!
2006-03-20
Picha hiyo haifungui!
100.
OK
2006-03-20
SAWA
101.
There are no saved files!
2006-03-20
Hakuna mafaili yaliyohifadhiwa!
102.
Print your picture now?
2006-03-20
Chapisha picha yako sasa?
104.
Your picture has been printed!
2006-03-20
Picha yako imechapishwa!
105.
You can’t print yet!
2006-03-20
Huwezi kuchapisha picha bado!
106.
Erase this picture?
2006-03-20
Futa picha hii?
114.
Erase
2006-03-20
Futa
116.
Back
2006-03-20
Nyuma
120.
Yes
2006-03-20
Ndiyo
121.
No
2006-03-20
Hapana
125.
Choose the picture you want, then click “Open”.
2006-03-20
Chagua picha unayotaka, halafu bofya “Fungua”.
127.
A drawing program for children.
2006-03-20
Programu kwa watoto kuchora.
128.
Drawing program
2006-03-20
Programu ya kuchora
129.
Tux Paint
2006-03-20
Koti ya Rangi
130.
Blocks
2006-03-20
Matofali
131.
Chalk
2006-03-20
Chaki
132.
Drip
2006-03-20
Dondosha
133.
Click and move the mouse around to make the picture blocky.
2008-01-26
Bofya na sogea puku kuweka miraba midogo kwenye picha.
134.
Click and move the mouse around to turn the picture into a chalk drawing.
2006-03-20
Bofya na sogea puku kuchua picha na chaki.
135.
Click and move the mouse around to make the picture drip.
2008-01-26
Bofya na sogea puku kudondoshea picha.
136.
Blur
2006-03-20
Ukungu
137.
Click and move the mouse around to blur the picture.
2006-03-20
Bofya na sogea puku kuweka ukungu.
151.
Click and move to fade the colors.
2008-01-26
Bofya na sogea kupausha rangi.
153.
Fill
2006-03-20
Jaza
154.
Click in the picture to fill that area with color.
2006-03-20
Bofya katika picha kujaza eneo hilo na rangi.
169.
Mirror
2006-03-20
Kioo
170.
Flip
2006-03-20
Geuza
171.
Click to make a mirror image.
2006-03-20
Bofya kuona picha kwenye kioo.
172.
Click to flip the picture upside-down.
2006-03-20
Bofya kugeuza picha pindu.
173.
Negative
2006-03-20
Kinyume
174.
Click and move the mouse around to draw a negative.
2006-03-20
Bofya na sogea puku kuchora rangi za kinyume.
175.
Rainbow
2006-03-20
Upinde wa mvua
176.
You can draw in rainbow colors!
2008-01-26
Unaweza kuchora kwenye rangi za upinde wa mvua!
187.
Sparkles
2006-03-20
Vimetameta
188.
Click and move to draw sparkles.
2008-01-26
Bofya na sogea kuchora vimetameta.
190.
You now have a blank sheet to draw on!
2006-03-20
Sasa una ukurasa tupu kutumia kuchora!