Translations by IT46

IT46 has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

150 of 96 results
1.
Black!
2006-03-20
Nyeusi!
4.
White!
2006-03-20
Nyeupe!
5.
Red!
2006-03-20
Nyekundu!
6.
Orange!
2006-03-20
Machungwa!
7.
Yellow!
2006-03-20
Manjano!
11.
Blue!
2006-03-20
Buluu!
13.
Purple!
2006-03-20
Zambarau!
14.
Pink!
2006-03-20
Pinki!
15.
Brown!
2006-03-20
Kahawia!
28.
Great!
2006-03-20
Safi!
29.
Cool!
2006-03-20
Poa!
30.
Keep it up!
2006-03-20
Endelea!
31.
Good job!
2006-03-20
Kazi nzuri!
38.
Square
2006-03-20
Mraba
39.
Rectangle
2006-03-20
Pembenne
40.
Circle
2006-03-20
Duara
42.
Triangle
2006-03-20
Pembetatu
43.
Pentagon
2006-03-20
Pembetano
50.
A triangle has three sides.
2006-03-20
Pembetatu ina pande tatu.
51.
A pentagon has five sides.
2006-03-20
Pembetano ina pande tano.
54.
Tools
2006-03-20
Zana
55.
Colors
2006-03-20
Rangi
56.
Brushes
2006-03-20
Burashi
58.
Stamps
2006-03-20
Stempu
59.
Shapes
2006-03-20
Maumbo
60.
Letters
2006-03-20
Herufi
61.
Magic
2006-03-20
Ajabu
62.
Paint
2008-01-26
Paka rangi
63.
Stamp
2006-03-20
Tia stempu
64.
Lines
2006-03-20
Mistari
65.
Text
2006-03-20
Maandiko
66.
Undo
2006-03-20
Rudia
67.
Redo
2006-03-20
Fanya tena
68.
Eraser
2006-03-20
Kifutio
69.
New
2006-03-20
Mpya
70.
Open
2006-03-20
Fungua
71.
Save
2006-03-20
Hifadhi
72.
Print
2006-03-20
Chapisha
73.
Quit
2006-03-20
Aga
74.
Pick a color and a brush shape to draw with.
2006-03-20
Chagua rangi na umbo la burashi kutumia kuchora.
75.
Pick a picture to stamp around your drawing.
2006-03-20
Chagua picha kutia stempu katika picha yako.
76.
Click to start drawing a line. Let go to complete it.
2006-03-20
Bofya kuanza kuchora mstari. Achilia kuumaliza.
77.
Pick a shape. Click to pick the center, drag, then let go when it is the size you want. Move around to rotate it, and click to draw it.
2006-03-20
Chagua umbo. Bofya kuchagua katikati, kokota, na achilia wakati ni ukubwa unaotaka. Sogea kuuzungusha, na bofya kuuchora.
78.
Choose a style of text. Click on your drawing and you can start typing.
2006-03-20
Chagua mtindo wa maandiko. Bofya katika picha yako na unaweza kuanza kupiga taipu.
79.
Pick a magical effect to use on your drawing!
2006-03-20
Chagua tendo la ajabu kutumia kwenye picha yako!
80.
Undo!
2006-03-20
Rudia!
81.
Redo!
2006-03-20
Fanya tena!
82.
Eraser!
2006-03-20
Kifutio!
84.
Open…
2006-03-20
Fungua...
85.
Your image has been saved!
2008-01-26
Picha yako ilihifadhiwa!