Translations by Lewis Mujumba

Lewis Mujumba has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

130 of 30 results
1.
Checking for updates…
2022-02-04
inatafuta mabadiliko...
2.
Installing updates…
2022-02-04
inaweka mabadiliko....
3.
Please wait, this can take some time.
2022-02-04
Tafadhali subiri, hii inaweza kuchukua muda.
4.
Update is complete
2022-02-04
Mabadiliko yamekamilika
5.
Updating snaps
2022-02-04
Tunabadilisha upya picha
6.
Refreshing %s snap
2022-02-04
Inaonyesha upya picha ya %s
7.
Removing %s snap
2022-02-04
Inaondoa upya picha ya %s
8.
Installing %s snap
2022-02-04
Tunaweka %s upya picha
9.
Upgrade only partially completed.
2022-02-04
Uboreshaji umekamilika kwa kiasi
10.
An error occurred while updating snaps. Please check your network connection.
2022-02-04
Hitilafu imetokea wakati wa kusasisha picha. Tafadhali angalia muunganisho wako wa mtandao
11.
Open Link in Browser
2022-02-04
Fungua Kiungo katika Kivinjari
12.
Copy Link to Clipboard
2022-02-04
Nakili Kiungo kwenye Ubao wa kunakili
13.
Settings…
2022-02-04
Mipangilio...
14.
<b>Tip:</b> You can use Livepatch to keep your computer more secure between restarts.
2022-02-04
<b>Tip:</b> Unaweza kutumia Livepatch kuweka kompyuta yako salama zaidi kati ya kuwasha upya
15.
Settings & Livepatch…
2022-02-04
Mipangilio & livepatch
16.
%d Livepatch update applied since the last restart.
%d Livepatch updates applied since the last restart.
2022-02-04
Badiliko la %d Livepatch limewekwa tangu kuanzishwa upya kwa mwisho.
Mabadiliko ya %d Livepatch yamewekwa tangu kuanzishwa upya kwa mwisho.
17.
%d Livepatch update failed to apply since the last restart.
%d Livepatch updates failed to apply since the last restart.
2022-02-04
Badiliko la %d Livepatch limefeli tangu kuanzishwa upya kwa mwisho.
Mabadiliko ya %d Livepatch yamefeli tangu kuanzishwa upya kwa mwisho.
18.
You stopped the check for updates.
2022-02-04
Umesimamisha kuangalia mabaliko
19.
_Check Again
2022-02-04
Angalia tena
20.
No software updates are available.
2022-02-04
hakuna mabadiliko za programu zinazopatikana.
21.
The software on this computer is up to date.
2022-02-04
Programu kwenye kompyuta hii imesasishwa.
22.
However, %s %s is now available (you have %s).
2022-02-04
hata hivyo,%s %s sasa zinapatikana (uko na %s).
23.
Upgrade…
2022-02-04
Boresha...
24.
New important security and hardware support update.
2022-02-04
badiliko jipya na muhimu kwa usalama na usaidizi wa maunzi
25.
_Install…
2022-02-04
_weka...
26.
Software updates are no longer provided for %s %s.
2022-02-04
Mabadiliko mapya ya programu hazitatolewa tena kwa %s %s.
27.
To stay secure, you should upgrade to %s %s.
2022-02-04
Ili kukaa salama, unapaswa kupata toleo jipya la %s %s.
28.
Sorry, there are no more upgrades for this system
2022-02-04
Samahani, hakuna mabadiliko zaidi vya mfumo huu
29.
There will not be any further Ubuntu releases for this system's '%s' architecture. Updates for Ubuntu %s will continue until 2023-04-26. If you reinstall Ubuntu from ubuntu.com/download, future upgrades will be available.
2022-02-04
Hakutakuwa na matoleo mengine ya Ubuntu kwa usanifu wa mfumo huu wa '%s'. Mabadiliko ya Ubuntu %s yataendelea hadi 2023-04-26. Ukiweka tena Ubuntu kutoka ubuntu.com/download, mabadiliko yajayo yatapatikana.
30.
Not all updates can be installed
2022-02-04
Sio mabadiliko yote yanaweza kuwekwa