Translations by Iain Lane

Iain Lane has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

150 of 65 results
4.
Select System
2020-09-03
Teua Mfumo
5.
XDMCP: Could not create XDMCP buffer!
2020-09-03
XDMCP: Haikuweza kuunda kipunguzi cha XDMCP!
6.
XDMCP: Could not read XDMCP header!
2020-09-03
XDMCP: Haikuweza kusoma kichwa cha XDMCP!
7.
XDMCP: Incorrect XDMCP version!
2020-09-03
XDMCP: Toleo kosefu la XDMCP!
8.
XDMCP: Unable to parse address
2020-09-03
XDMCP: Haijafaulu kuchanganua anwani
9.
/dev/urandom is not a character device
2020-09-03
/dev/urandom sio kifaa cha dhati
11.
Could not identify the current seat.
2020-09-03
Haikuwezekana kutambua kiti kinachotumika.
12.
The system is unable to determine whether to switch to an existing login screen or start up a new login screen.
2020-09-03
Mfumo haijafaulu kuamua kama itapindua kutumia pazia-ishi ya login au kuanzisha upya pazia ya login.
13.
The system is unable to start up a new login screen.
2020-09-03
Mfumo haijafaulu kuanzisha upya pazia ya login.
15.
Could not start the X server (your graphical environment) due to an internal error. Please contact your system administrator or check your syslog to diagnose. In the meantime this display will be disabled. Please restart GDM when the problem is corrected.
2020-09-03
Haijawezekana kuanzisha X seva (mazingira yako ya grafiki) kwa sababu ya hitilafu ya ndani. Tafadhali mjulishe msimamizi wako wa mfumo au angalia syslog yako kutambua. Kwa sasa onyesho hili litazuiwa kutumika. Tafadhali anzisha upywa GDM shida hii itakapo rekebishwa.
17.
No session available
2020-09-03
Hakuna kikao inayopatikana
19.
Can only be called before user is logged in
2020-09-03
Inaweza itwa tu kabla mtumiaji haja-login
20.
Caller not GDM
2020-09-03
Mwitaji sio GDM
24.
initgroups () failed for %s
2020-09-03
initgroups () imefeli kwa %s
26.
%s: Could not open log file for display %s!
2020-09-03
%s: Haikuwezekana kufungua faili ya kumbukumbu kwa onyesho %s!
27.
%s: Error setting %s to %s
2020-09-03
%s: Hitilafu kutia %s kua %s
29.
%s: Empty server command for display %s
2020-09-03
%s: Amri tupu ya seva kwa onyesho %s
30.
Username
2020-09-03
Jina la utumiaji
31.
The username
2020-09-03
Lile jina la mtumiaji
32.
Hostname
2020-09-03
Jina la kijihudumu
33.
The hostname
2020-09-03
Lile jina la kijihudumu
34.
Display Device
2020-09-03
Kifaa cha Onyesho
35.
The display device
2020-09-03
Lile Kifaa cha Onyesho
36.
Could not create authentication helper process
2020-09-03
Haikuwezekana kuunda harakati ya msaidizi wa usahihishaji
39.
Username:
2020-09-03
Jina la utumiaji:
40.
no user account available
2020-09-03
hakuna akaunti ya mtumiaji inayopatikana
41.
Unable to change to user
2020-09-03
Haijafaulu kubadilisha kua mtumiaji
43.
Could not create socket!
2020-09-03
Haijawezekana kuunda tundu!
47.
Cannot write PID file %s: possibly out of disk space: %s
2020-09-03
Haiwezi kuandika faili ya PID %s: inawezekana nafasi ya disk kukwisha: %s
48.
Failed to create ran once marker dir %s: %s
2020-09-03
Ilifeli kuunda ran mara moja marker dir %s: %s
49.
Failed to create LogDir %s: %s
2020-09-03
Ilefeli kuunda LogDir %s: %s
51.
The GDM user should not be root. Aborting!
2020-09-03
Ule mtumiaji wa GDM hawezi kua root. Inasitisha!
53.
The GDM group should not be root. Aborting!
2020-09-03
Lile kundi ya GDM haliwezi kua root. Inasitisha!
54.
Make all warnings fatal
2020-09-03
Fanya maonyo yote kuwa mbaya
55.
Exit after a time (for debugging)
2020-09-03
Toka baada ya muda (kwa debugging)
56.
Print GDM version
2020-09-03
Chapa toleo la GDM
57.
GNOME Display Manager
2020-09-03
Onyesha Kuu la GNOME
58.
Only the root user can run GDM
2020-09-03
Mtumiaji root pekee yake ndiye anayeweza kutimusha GDM
59.
GNOME Display Manager Session Worker
2020-09-03
Mfanyaji kazi wa kikao cha Onyesho Kuu la GNOME
62.
Whether or not to allow fingerprint readers for login
2020-09-03
Kama kukubalia au la kutumia kichapisha-kidole kwa login
63.
The login screen can optionally allow users who have enrolled their fingerprints to log in using those prints.
2020-09-03
Lile pazia la login linaweza kwa hiari kukubalia watumiaji waliojiandikisha vidole vyao kwenye kichapisha-kidole ku-login wakitumia hizo vichapisho.
64.
Whether or not to allow smartcard readers for login
2020-09-03
Kama kukubalia au la visomaji vya smart-kadi ku-login
65.
The login screen can optionally allow users who have smartcards to log in using those smartcards.
2020-09-03
Lile pazia la login linaweza kwa hiari kukubalia watumiaji walio na smart-kadi kuingia wakitumia hizo smart-kadi.
66.
Whether or not to allow passwords for login
2020-09-03
Kama kukubalia au la nywila kwa ku-login
67.
The login screen can be configured to disallow password authentication, forcing the user to use smartcard or fingerprint authentication.
2020-09-03
Lile pazia la login linaweza kusanidiwa kutokubali usahihisaji wa nywila, na kushurutisha mtumiaji kutumia usahihishaji wa smart-kadi au kwa kichapisha-kidole.
68.
Path to small image at top of user list
2020-09-03
Njia kwa picha ndogo iliyo juu la orodha ya mtumiaji
71.
Avoid showing user list
2020-09-03
Epuka kueonyesha orodha ya mtumiaji
72.
The login screen normally shows a list of available users to log in as. This setting can be toggled to disable showing the user list.
2020-09-03
Lile pazia la login kwa kawaida linaonyesha oridha ya watumiaji wanaopatikana ili kuingia ndani kama. Hii mazingira inaweza kugeuzwa ili kutooonyesha orodha ya mtumiaji.
73.
Enable showing the banner message
2020-09-03
Wezesha kuonyesha habari ya alamu
74.
Set to true to show the banner message text.
2020-09-03
Tia kua sadifu kuonyesha alamu iliyo na maandiko ya habari.