Browsing Swahili translation

142 of 179 results
142.
To track a person in the database, whether an employee or a job applicant, add a record for that person. Certain information is required to start a new record. Once the record is generated, additional options for adding data about the person will become available. An HR Staff person or an HR Manager can add a new person to the system.
Ili kumfuatilia mtu kwenye hazinadata, awe mwajiriwa au mwombaji kazi, ongeza kumbukumbu kwa ajili ya huyo mtu. Taarifa fulani inahitajika ili kuanza kumbukumbu mpya. Mara tu kumbukumbu inapotengenezwa, chaguzi za ziada kwa ajili ya kuongeza data kuhusu huyo mtu zitakuwa zikipatikana. Afisa Rasilimali Watu au Meneja Rasilimali Watu anaweza kuongeza mtu mpya kwenye mfumo.
Translated by Carl Leitner
Located in [http://bazaar.launchpad.net/~intrahealth+informatics/ihris-manage/4.0-dev/annotate/head%3A/templates/en_US/manage.html#L13 ihris-manage/4.0-dev/annotate/head%3A/templates/en_US/manage.html line 13]
142 of 179 results

No translation group has been assigned.

You are not logged in. Please log in to work on translations.