Translations by Chad Miller

Chad Miller has submitted the following strings to this translation. Contributions are visually coded: currently used translations, unreviewed suggestions, rejected suggestions.

72017239 of 7239 results
7325.
Downloaded by <a href="%{URL}">%{EXTENSION}</a>
2015-10-21
Imepakuliwa na <a href="%{URL}">%{EXTENSION}</a>
7326.
%{USB_DEVICE_NAME} detected
2015-10-21
%{USB_DEVICE_NAME} kimegunduliwa
7328.
Websites
2015-10-21
Tovuti
7332.
Instead of enumerating data types that are not deleted in the dialog, use a simple support string linking to an article with more information.
2015-10-21
Badala ya kuhesabu aina za data ambazo hazifutwi kwenye kidirisha, tumia mfuatano rahisi wa usaidizi unaounganisha kwenye makala yaliyo na maelezo zaidi.
7333.
Some settings that may reflect browsing habits |will not be cleared|.
2015-10-21
Baadhi ya mipangilio ambayo inaweza kuonyesha tabia ya kuvinjari |haitafutwa|.
7335.
H&elp
2015-10-21
Usaidizi
7338.
If enabled, any origin is allowed to use connected WebUSB devices without prompting the user.
2015-10-21
Ikiwashwa, asili yoyote inaruhusiwa kutumia vifaa vya WebUSB vilivyounganishwa bila kumwuliza mtumiaji.
7344.
Enable BLE Advertising in Chrome Apps.
2015-10-21
Washa Matangazo ya BLE katika Programu za Chrome.
7345.
Experimental WebUsb notifications.
2015-10-21
Arifa za majaribio za WebUsb.
7348.
Provide certificates for authentication
2015-10-21
Toa vyeti vya kuthibitishia
7351.
This clears synced data from all devices.
2015-10-21
Hufuta data iliyosawazishwa kutoka kwenye vifaa vyote.
7352.
Use a simple support string in the Clear browsing data dialog.
2015-10-21
Tumia mfuatano rahisi wa usaidizi katika kidirisha cha Futa data ya kuvinjari.
7356.
Other
2015-10-21
Nyingine
7357.
Allow WebUSB from any origin.
2015-10-21
Ruhusu WebUSB kutoka asili yoyote.
7358.
Enable the deprecated version of Encrypted Media Extensions on video and audio elements.
2015-10-21
Washa toleo lisilotumika la Viendelezi vya Maudhui Vilivyosimbwa kwa Njia Fiche kwenye vipengee vya video na sauti.
7359.
Would you like to translate this page?
2015-10-21
Ungependa kuutafsiri ukurasa huu?
7360.
Go to %{LANDING_PAGE} to connect.
2015-10-21
Nenda kwenye %{LANDING_PAGE} ili uunganishe.
7366.
Enable prefixed Encrypted Media Extensions.
2015-10-21
Washa Viendelezi vinavyowekwa kabla vya Maudhui Vilivyosimbwa kwa Njia Fiche.
7368.
Downloaded in Incognito
2015-10-21
Ilipakuliwa katika Hali Fiche
7371.
Extensions & Apps
2015-10-21
Viendelezi na Programu
7372.
Use Android Midi API for WebMIDI (effective only with Android M+ devices).
2015-10-21
Tumia API ya Android Midi kwa WebMIDI (inafanya kazi kwenye vifaa vinavyotumia toleo la Android M na matoleo ya baadaye).
7373.
Enables an experimental implementation of the Credential Manager API. Don't enable this unless you know what you're doing.
2015-10-21
Huwasha utekelezaji wa kimajaribio wa API ya Kidhibiti cha Kitambulisho. Usiwashe hii isipokuwa uwe unafahamu unachokifanya.
7386.
Use Android Midi API
2015-10-21
Kutumia API ya Android Midi
7388.
Enable slimming paint phase 2 (display list based layerization, sub-tree painting optimization, etc.)
2015-10-21
Washa rangi hafifu ya awamu ya 2 (onyesha kuweka safu kulingana na orodha, kuimarisha rangi ya vipera, n.k.)
7390.
Smart Lock helps you quickly sign in to apps and sites using passwords you have saved with Google.
2015-10-21
Smart Lock hukusaidia kuingia katika programu na tovuti kwa haraka kwa kutumia manenosiri ambayo umehifadhi kwenye Google.
7392.
Only one session can be created at a time.
2015-10-21
Ni kipindi kimoja pekee kinachoweza kuundwa kwa wakati.
7416.
Failed to find article
2015-10-21
Haikupata makala
7417.
Rotate clockwise
2015-10-21
Zungusha kwenye mwendo wa saa
7418.
Fit to width
2015-10-21
Fanya itoshe kwenye upana
7420.
Rotate counterclockwise
2015-10-21
Zungusha kinyume cha mwendo wa saa
7421.
Enterprise default
2015-10-21
Biashara chaguo-msingi
7422.
Cloud
2015-10-21
Wingu
7423.
Enterprise override
2015-10-21
Batilisha biashara
7424.
Source
2015-10-21
Chanzo
7427.
To establish a secure connection, your clock needs to be set correctly. This is because the certificates that websites use to identify themselves are only valid for specific periods of time. Since your device's clock is incorrect, Chromium cannot verify these certificates.
2015-10-21
Ili kutambua muunganisho salama, saa yako inahitaji kuwekwa sahihi. Hii ni kwa sababu vyeti ambavyo tovuti hutumia kujitambua ni sahihi kwa vipindi mahususi pekee. Kwa kuwa saa ya kifaa chako si sahihi, Chromium haiwezi kuthibitisha vyeti hivi.
7428.
{1, plural, =1 {This server could not prove that it is %{DOMAIN}; its security certificate expired yesterday. This may be caused by a misconfiguration or an attacker intercepting your connection. Your computer's clock is currently set to %{CURRENT_DATE}. Does that look right? If not, you should correct your system's clock and then refresh this page.} other {This server could not prove that it is %{DOMAIN}; its security certificate expired # days ago. This may be caused by a misconfiguration or an attacker intercepting your connection. Your computer's clock is currently set to %{CURRENT_DATE}. Does that look right? If not, you should correct your system's clock and then refresh this page.}}
2015-10-21
{1,plural, =1{Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni %{DOMAIN}; cheti chake cha usalama kilikwisha muda jana. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako. Saa ya kompyuta kwa sasa imewekwa kuwa %{CURRENT_DATE}. Je, hiyo ni sahihi? Ikiwa si sahihi, rekebisha saa ya mfumo wako kisha uonyeshe upya ukurasa huu.}other{Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni %{DOMAIN}; cheti chake cha usalama kilikwisha muda siku # zilizopita. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako. Saa ya kompyuta kwa sasa imewekwa kuwa %{CURRENT_DATE}. Je, hiyo ni sahihi? Ikiwa si sahihi, rekebisha saa ya mfumo wako kisha uonyeshe upya ukurasa huu.}}
7429.
{1, plural, =1 {This server could not prove that it is %{DOMAIN}; its security certificate is supposedly from tomorrow. This may be caused by a misconfiguration or an attacker intercepting your connection.} other {This server could not prove that it is %{DOMAIN}; its security certificate is supposedly from # days in the future. This may be caused by a misconfiguration or an attacker intercepting your connection.}}
2015-10-21
{1,plural, =1{Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni %{DOMAIN}; cheti chake cha usalama kitakwisha muda kuanzia kesho. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.}other{Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni %{DOMAIN}; cheti chake cha usalama kitakwisha muda kuanzia siku # zijazo. Hii inaweza kusababishwa na usanidi usiofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.}}
7430.
Server's certificate cannot be checked.
2015-10-21
Cheti cha seva hakiwezi kukaguliwa.
7431.
This server could not prove that it is %{DOMAIN}; its security certificate is not trusted by Chromium. This may be caused by a misconfiguration or an attacker intercepting your connection.
2015-10-21
Seva hii haikuweza kuthibitisha kuwa ni %{DOMAIN}; cheti chake cha usalama hakiaminiwi na Chromium. Hii inaweza kusababishwa na kusanidi kusikofaa au mvamizi kuingilia muunganisho wako.